Thursday, 22 September 2011

SiNa BuDi BaLi KuJi MuDu!!

Sina budi bali kujimudi,
Natia bidii ndio nipate kitu,
Mvua jua joto baridi,
Akuna kulala najitahidi,

Bado naendeleza,
Kipaji changu nakuza,
Kimziki sitotuliza,
Kazi yangu naitimiza,

No comments:

Post a Comment